1
Screenshot 20220217-130510 2
A microcredit with a difference




WASILIANA NASI


Garden Road,
Mikocheni, Dar es Salaam

+255 222 701846

info@kopafasta.co.tz
UTANGULIZI
Kopa Fasta ni kampuni ya utoaji mikopo inayolenga kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa pia inatoa mikopo kwa waajiriwa wa serikali na kampuni binafsi.


Tunatoa mkopo wa dharura kiasi cha Tsh. 1,000,000 (Million moja) hadi Tsh. 5,000,000 (Million tano) kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji mkopo.


Mkopo huu wa dharura tunatoa kwa njia ya Online (mtandaoni) kupitia hii tovuti yetu ya kampuni.

VIWANGO TUNAVYOTOA
Kupitia tovuti hii unaweza kuomba mkopo wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) hadi Tsh. 5,000,000 (Million tano) kiasi cha mkopo tunachokopesha ni Million moja hadi Million tano, hatutoi mkopo chini ya million moja pia hatukopeshi zaidi ya million tano, kiwango unachoweza kuomba na kukopeshwa ni Tsh. 1,000,000 (Million moja) hadi Tsh. 5,000,000 (Million tano) pekee

huu ni mkopo wa dharura hivyo kiwango cha mkopo hakiwezi kuzidi zaidi ya Tsh. 5,000,000 (Million tano) au kupungua chini ya Tsh. 1,000,000 (Million moja).
Iwapo utahitaji mkopo mkubwa zaidi
unatakiwa ufike katika ofisi zetu zilizopo Mikocheni B Barabara ya Rose Garden au fika katika tawi letu lingine lililopo mikocheni kwa warioba jirani na ghorofa za Palm Village, uweze kupata utaratibu zaidi wa kuweza kupata mkopo mkubwa. Kupitia mtandao huu unaweza kuomba mkopo wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) hadi Tsh. 5,000,000 (Million tano) tu na ukapatiwa mkopo ndani ya dakika 30.
MAREJESHO NA RIBA

Kama ilivyoelezwa hapo juu, tunakopesha Tsh. 1,000,000 (Million moja) hadi Tsh. 5,000,000 (Million tano) mwisho. hivyo kiasi cha mkopo wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) hadi Tsh. 5,000,000 (Million tano) riba yake ni Asilimia 5 hivyo ukichukua mkopo huu wa Tsh. 1,000,000 (Million moja) hadi Tsh. 5,000,000 (Million tano) utatakiwa kurejesha Tsh. 100,000 (Laki moja) pamoja na riba ya Tsh. 50,00 (elfu tano) jumla Kila mwisho wa mwezi utarejesha Tsh. 105,000 (Laki moja na elfu tano).

Tumeamua kuweka riba ndogo sana katika mikopo hii. kila mteja atalipa sawa bila kuzidi au kupungua kwa riba. Marejesho kwa kila mkopo ni Laki haijalishi ukubwa au udogo wa mkopo.


Marejesho ya mkopo yataambatanishwa na kiasi cha riba Tshs. 5,000 (Elfu tano) ambayo ndio riba ya mkopo.

Kila mteja atakae jiunga na kupatiwa mkopo atawajibika kurejesha Tshs. 105,000 (Laki moja na elfu tano) kila mwezi. Laki moja rejesho lake, na elfu tano ni riba ya mkopo wake.
VIWANGO VYA MKOPO
IMG 20201012 004357 130 thumb thumb thumb
Tunakopesha kuanzia Millini moja mwisho wa kukopesha Million tano, Kiwango cha mkopo wa Million moja hakiwezi kupungua au kiwango cha mkopo wa Million tano hakiwezi kuzidi.


Viwango vya kulipa akiba vinaanzia Laki moja na elfu kumi (110,000) mwisho wa kulipa akiba Laki tano na elfu hamsini(550,000)


Tunakopesha kuanzia Million moja (1,000,000) mwisho wa kukopesha Million tano (5,000,000).

____________________________________ (i)UKILIPIA AKIBA YA SHILINGI LAKI MOJA NA ELFU KUMI (110,000) TUNAKUKOPESHA SHILINGI MILLION MOJA (1,000,000) ____________________________________

Ukijaza fomu ya maombi ya mkopo na ukalipia akiba ya Tshs. 110,000 (Laki moja na elfu kumi) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 1,000,000 (million moja) na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 105,000 (Laki moja na elfu tano) kwa muda wa miezi kumi.

____________________________________ (i)UKILIPIA AKIBA YA SHILINGI LAKI MBILI NA ELFU ISHILINI (220,000) TUNAKUKOPESHA SHILINGI MILLION MBILI (2,000,000) ____________________________________

Ukijaza fomu ya maombi ya mkopo na ukilipa akiba ya Tshs. 220,000 (Laki mbili na elfu ishilini) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 2,000,000 (million mbili) na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 105,000 (Laki moja na elfu tano) kwa muda wa miezi Ishirini.

____________________________________ (ii)UKILIPIA AKIBA YA SHILINGI LAKI TATU NA ELFU THERASINI (330,000) TUNAKUKOPESHA SHILINGI MILLION TATU (3,000,000) ____________________________________

Ukijaza fomu ya maombi ya mkopo na ukilipa akiba ya Tshs. 330,000 (Laki tatu na elfu therasini) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 3,000,000 (million tatu) na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 105,000 (Laki moja na elfu tano) kwa muda wa miezi Thelathini.

____________________________________ (iii)UKILIPIA AKIBA YA SHILINGI LAKI NNE NA ELFU AROBAINI (440,000) TUNAKUKOPESHA SHILINGI MILLION NNE (4,000,000) ____________________________________

Ukijaza fomu ya maombi ya mkopo na ukilipa akiba ya Tshs. 440,000 (Laki nne na elfu arobaini) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 4,000,000 (million nne) na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 105,000 (Laki moja na elfu tano) kwa muda wa miezi Arobaini. ____________________________________ (iv)UKILIPIA AKIBA YA SHILINGI LAKI TANO NA ELFU HAMSINI (550,000) TUNAKUKOPESHA SHILINGI MILLION TANO (5,000,000) ____________________________________

Ukijaza fomu ya maombi ya mkopo na ukilipa akiba ya Tshs. 550,000 (Laki tano na elfu hamsini) akiba yako tutaizidisha mara kumi na utakopeshwa Tshs. 5,000,000 (million tano) na marejesho yake utarejesha kila mwezi Tshs. 105,000 (Laki moja na elfu tano) kwa muda wa miezi Hamsini.

KWANINI ULIPIE PESA YA KAMPUNI

ukiwa kama mkopaji unae hitaji mkopo unaweza kujiuliza kwanini ulipie pesa ya kampuni ikiwa wewe unahitaji mkopo?

kwa kawaida taasisi zote za kifedha zinakua na utaratibu wa uwekaji akiba au dhamana hii inahusisha security ya mkopo na upatikanaji wa fedha za kukopesha



utaratibu wetu sisi Kopa Fasta ni sharti la lazima kwa kila anaetaka mkopo akishajaza fomu anatakiwa kulipia malipo ya kampuni ya Kopa Fasta ikiwa ni kama sehemu ya dhamana pia ni faida ya kampuni kulingana na pesa tunayo kukopesha itadumu kwako kwa muda wa mwaka mmoja na miezi nane ndipo uanze kurejesha, iwapo kampuni itakua inatoa tu pesa kwa kila mkopaji na kusubiri pesa zirudishwe ndani ya mwaka mmoja na miezi miezi nane hakutakuwa na mzunguko mzuri wa pesa na itasababisha kukosekana kwa pesa ndani ya kampuni hivyo watu wengine watakao kuwa wanahitaji mkopo watashindwa kupata mikopo kwakua kampuni haitokuwa na pesa wakati pesa zikiwa zimekopeshwa kwa watu wengine hivyo inalazimika kila anaetaka kuchukua mkopo anatakiwa alipie malipo ya kampuni ili kampuni iweze kuwa na mzunguko wa fedha kwa kila mkopaji kuchangia pesa ili iweze kupatikana na watu wengine nao waweze kupata mikopo hivyo pesa utakayolipia itaingizwa katika mfuko wa kampuni ya Kopa Fasta ili kuwepo na mzunguko wa pesa kwakua kampuni inajiendesha yenyewe na inakopesha kupitia uwekezaji wako wewe mkopaji hivyo ni lazima ulipie ndipo uweze kupata mkopo.






XtGem Forum catalog